Babel

The Tower of Babel (Genesis 11: 1-9)

Swahili

  1. Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
  2. Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
  3. Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
  4. Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
  5. Bwana akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
  6. Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
  7. Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
  8. Basi Bwana akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
  9. Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo Bwana alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko Bwana akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

Hear a recording of this text by EasySwahili

Information about Swahili | Phrases | Numbers | Time | Tower of Babel | Books about Swahili on: Amazon.com and Amazon.co.uk [affilate links]


Learn Swahili: For Beginners and Travellers

Learn Swahili: For Beginners and Travellers

by G. O. Oyoo

- includes details of the Swahili alphabet and pronunciation; a guide to Swahili pronouns, sentence structure and sentence construction; useful words and phrases in various scenarios, and an English-Swahili dictionary.

Buy from: Payhip.com


Tower of Babel in Bantu languages

Bangi, Bemba, Beti, Bulu, Chichewa, Dawida, Haya, Kamba, Kiga, Kikuyu, Kinyarwanda, Kirundi, Kongo, Koti, Kwanyama, Lamba, Lingala, Lozi, Luba-Katanga, Luganda, Luragooli, Mbunda, Mpongwe, Ndebele, Ndonga, Nkore, Northern Sotho, Nyakyusa, Sango, Sena, Shona, Soga, Southern Sotho, Sukuma, Swahili, Swati, Tetela, Tonga, Tsonga, Tswana, Tumbuka, Venda, Xhosa, Yao, Zulu

Other Tower of Babel translations

By language | By language family

[top]


Green Web Hosting - Kualo

Why not share this page:

 

iVisa.com

If you like this site and find it useful, you can support it by making a donation via PayPal or Patreon, or by contributing in other ways. Omniglot is how I make my living.

 

Note: all links on this site to Amazon.com, Amazon.co.uk and Amazon.fr are affiliate links. This means I earn a commission if you click on any of them and buy something. So by clicking on these links you can help to support this site.

Get a 30-day Free Trial of Amazon Prime (UK)

[top]

iVisa.com